
JEAN AHOUA BADO SIMBA SC, RS BERKANE KUKUTANA NACHO MEI 17 2025
Jean Ahoua kwenye mtihani mzito ugenini kimataifa dhidi ya RS Berkane Mei 17 2025. Ligi Kuu Bara anaongoza kwa kufunga mabao mengi akiwa nayo 15 kibindoni. Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC abainisha bado sana. KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Jean Ahoua ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu…