
BADO MUDA WA KUPAMBANA KUFIKIA MALENGO
MUDA wa kukamilisha kazi kwenye Ligi Kuu Bara ambayo ilianza kwa kasi unazidi kusogea kutokana na kila timu kubakiwa na mechi chache mkononi. Kila mmoja kwa sasa anapambana kuona namna gani atafikia yale malengo ambayo alikuwa ameanza nayo kwa msimu wa 2022/23 ambao unazidi kwenda kwa kasi. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba matokeo anayopaa yanakuwa…