FIFA YAIFUNGIA CONGO BRAZZAVILLE KUSHIRIKI SHUGHULI ZOTE ZA KISOKA

Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA) limetangaza kusimamisha shirikisho la soka la Congo (FECOFOOT), hivyo kupiga marufuku timu ya taifa ya Congo na vilabu kushiriki katika mashindano ya Kimataifa. FIFA ilifafanua kuwa imeamua kusitisha uanachama wa shirikisho la soka la Congo Brazzaville hadi itakapotangazwa tena, kutokana na kuingilia kati kwa Waziri wa michezo wa Congo,…

Read More

KAMATA RATIBA YA LIGI NAMBA NNE KWA UBORA AFRIKA

BAADA ya ubao wa Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa kusoma Fountain Gate 1-1 Simba ngoma bado inaendelea kwenye Ligi namba nne kwa ubora Afrika ambapo kuna mechi zinachezwa leo msako wa pointi tatu muhimu. HII HAPA RATIBA YA FEBRUARI 7 Coastal Union v JKT Tanzania, saa 10:00 jioni Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar, saa…

Read More

AZAM FC YAMALIZANA NA KMC KISHUJAA ZAIDI

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamemalizana na KMC ndani ya msimu wa 2024/25 kwa kukomba pointi zote sita mazima. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Azam FC walipata ushindi wa mabao 4-0 Uwanja wa KMC Complex na bao la kwanza ndani ya Azam FC kwenye ligi likifungwa na Idd Nado akitumia pasi ya Fei Toto….

Read More

JISHINDIE MIHELA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia  kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana…

Read More

SUPER HELI INAMWAGA MVUA YA KIFALME MWEZI HUU

Kupitia mchezo matata wa kasini wa Super Heli wateja wa Meridianbet wanaweza kuokota vya kutosha kutokana na promosheni ya mchezo huo inayoendelea inayofahamika kama Mvua ya kifalme (Royalty Showers). Wakati huu ambao mchezo wa Kasino wa Super Heli umekua kivutio kikubwa kwa wadau wa michezo ya kasino na ndio wakati Meridianbet nao wamekuletea promosheni yao…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA, SIMBA NA YANGA KAZINI

BURUDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC inaendelea ambapo Februari 5 2025 kuna mechi kali mbili kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu na kivumbi kitaendelea Fenbruari 6 2025. Tabora United v Namungo na Yanga itakuwa dhidi ya Ken Gold hizi mbili ni mechi za Februari 5 2025 kwa wababe kuwa kazini…

Read More

VIDEO: AHOUA HATAKOSA PENATI, MJANJA

WAKALI wa kucheka na nyavu kwenye upande wa Simba wakiwa na majukumu ya mapigo ya penati ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni Leonel Ateba na Jean Ahoua wamepewa asilimia kubwa yakuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kupata penalti. Shabiki wa Simba, Banda Jr ameweka wazi kuwa Ahoua ni mjanja na hatakosa penati ndani ya kikosi…

Read More

KOCHA YANGA NA SAFARI YAKE YA MWISHO

KOCHA bora Desemba mechi yake ya mwisho ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex.Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-0 Kagera Sugar wakakomba pointi tatu muhimu na kukaa namba moja kwenye msimamo kwa saa 24. Ni Sead Ramovic hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kufunga…

Read More

ATEBA NA KAPOMBE PACHA INAYOTESA SIMBA

KUNA pacha zinazotesa ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids miongoni mwa hizo ni ile ya Leonel Ateba na Shomari Kapombe kutokana na kujibu kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Simba ni namba moja kwenye msimamo ikiwa na pointi 43 mchezo wao ujao wa ligi ni dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa…

Read More