
KIPA WA SIMBA AMEWEKA UFALME WAKE
KIPA namba moja wa Simba, inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids amejenga ufalme wake kwa makipa ambao wana hati safi nyingi ndani ya ligi yeye ni kinara, Mousa Camara ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Kipa huyo ni mechi 18 kacheza akikomba dakika 1,620 akiwa ni miongoni mwa wachezaji waliokomba dakika nyingi…