
AZAM FC KUMENYANA NA KMC AZAM COMPLEX
BAADA ya kukamilisha kete yao dhidi ya Simba Uwanja wa Mkapa, kituo kinachofuata ni dhidi ya KMC. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. KMC wao wametoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC hivyo…