
MBRAZIL APITISHA PANGA KIMYA KIMYA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amepanga kuwapa nafasi wachezaji wote kwa lengo la kuangalia uwezo wa kila mmoja kabla ya kukabidhi ripoti ya kuwatema baadhi ya mastaa kuelekea msimu ujao. Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi hicho katika msimu ujao kwa kusajili wachezaji wapya na kuwaongezea mikataba wale…