
HAWA HAPA WANAWANIA NAFASI SIMBA, LEO NI LEO
LEO Jumapili Klabu ya Sima inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo suala la uchaguzimkuu wa kuchagua mwenyekiti na wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi. Katika uchaguzi huo wanaowania nafasi ya mwenyekiti ni Murtanza Mangungu anayetetea kiti chake na Moses Kaluwa. Wajumbe ni Seif Ramadhan Muba, Seleman Harub Said,Iddi Halifa Kitete,Issa Masoud Iddi,Abubabakar Zebo,Abdallah…