TANO BONGO ZAFUNGIWA USAJILI NA FIFA YANGA NDANI
TAARIFA kutoka Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa timu tano Bongo zimefungiwa kufanya usajili wao kwa wakati huu mpaka zitakapokamilisha malipo ya wachezaji ambao wanawadai. Kwenye orodha ya timu hizo tano mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga wamo pia katika orodha hiyo ambapo ili wafanye usajili jambo moja linatakiwa kukamilika haraka…