
MBEYA CITY HAWAJAKATA TAMAA
LICHA ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar, benchi la ufundi la Mbey City limebainisha kuwa bado kuna nafasi ya kubaki kwenye ligi. Kwenye mchezo huo uliochezwa Aprili 24 bao pekee la Kagera Sugar lilipachikwa kimiani na Ally Ramadhan, ‘Ufudu’ likamshinda kipa wa Mbeya City Haroun Mandanda ilikuwa dakika ya 88. Timu hiyo…