
TEN HAG: MANCHESTER UNITED LAZIMA IWEKEZE
KOCHA Mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag amesema kwamba Manchester United lazima wawekeze ikiwa wanataka kusalia katika nafasi nne za juu za Premier League. Ten Hag ameirudisha United kwenye Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza huku pia akishinda Kombe la Carabao. Lakini kocha huyo alikuwa na wachezaji watatu pekee waliosajiliwa kwa mkopo katika…