
SIMBA SC KAMILI KWA KARIAKOO DABI
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Juni 15 2025. Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Machi 8 2025 ukayeyuka baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TBLB) kubainisha kuwa mchezo huo namba 184 umeahirishwa na utapagiwa tarehe nyingine. Yanga SC ilibainisha kuwa mchezo huo…