
AZIZ KI HATIHATI KUIKOSA DABI, KOCHA ASHUSHA PRESHA
KUELEKEA Kariakoo Derby, Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 58 kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 22 wanatarajiwa kumenyana na Simba iliyo…