
TABORA UNITED KUTUMIA CCM KIRUMBA
Timu ya Tabora United itatumia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kama Uwanja wa wake wa nyumbani katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania, utakaochezwa siku ya ljumaa Machi 07 saa 10:00 jioni. Tabora United FC itatumia Uwanja huo kutokana na kufungiwa kwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ambao ulikuwa ukitumika kwa…