
SIMBA SC WAULIZIA RIPOTI YA KARIAKOO DABI KUYEYUKA
UONGOZI wa Simba SC umetoa taarifa kwa umma kuwa mchezo wao wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC unaotarajiwa kuchezwa Juni 15 2025 upo kama ulivyopangwa. Taarifa ambayo imetolewa mapema Juni 10 2025 na Simba SC imeeleza kuwa Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, wapenzi na umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga…