
YANGA IMETENGENEZA MKWANJA MREFU, MIPANGO KAZI
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said ameweka wazi kuwa Yanga imetengeneza zaidi ya bilioni 7 kutokana na wadhamini mbalimbali pamoja na kuiheshimisha Tanzania kimataifa. Ni Juni 24 kwenye mkutano wa Wanachama wa Yanga aliweka wazi hayo kuhusu mafanikio ambayo wamefikia pamoja na muonekano wa uwanja mpya wa Yanga utakavyokuwa. Hiyo ni kwa msimu wa 2022/23…