
KINZUMBI ATAJA SABABU ZA KUSAINI YANGA, MGUNDA AACHIWA MSALA
Kinzumbi ataja sababu 3 kusaini Yanga,Mgunda aachiwa msala wa Yanga ndani ya Championi Jumatatu
Kinzumbi ataja sababu 3 kusaini Yanga,Mgunda aachiwa msala wa Yanga ndani ya Championi Jumatatu
TP Mazembe wametunguliwa mabao 4-1 dhidi ya Yanga wawakikilishi wa Tanzania,Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo wa kwanza Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 3-1 TP Mazembe. Mchezo wa pili Uwanja wa TP Mazembe ubao umesoma TP Mazembe 0-1 Yanga ikiwa ni hatua ya makundi. Mtupiaji ugenini ni Farid Mussa dakika ya 63 na kuifanya Yanga…
SINGIDA Big Stars imekata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation kwa ushindi wa mabao 4-1 Mbeya City Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Liti ikiwa ni hatua ya robo fainali. Watupiaji wa Singida Big Stars ni Bruno Gomes katupia kambani mara mbili Bright Adjei kamba moja Sawa na Francy Kazadi….
UWANJA wa TP Mazembe ubao unasoma TP Mazembe 0-0 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Yanga wametinga hatua ya robo fainali tayari wanapambana kumaliza nafasi ya kwanza hatua ya makundi. TP Mazembe wao hawana cha kupoteza zaidi ya kutaka kulipa kisasi kwa mchezo ambao walipoteza Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Yanga 3-1 Yanga.
MENEJA Walter Harrison ameweka wazi kuwa watawateka wapinzani wao TP Mazembe na kuchukua pointi tatu ugenini kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Leo Yanga ikiwa inaongoza kundi D na pointi 10 baada ya kucheza mechi tano ina kete ya mwisho dhidi ya TP Mazembe mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mazembe. Ipo wazi…
NI Metacha Mnata ameanza langoni kwenye kikosi cha leo akichukua nafasi ya Djigui Diarra ambaye ataukosa mchezo wa makundi dhidi ya TP Mazembe Dickson Job Lomalisa Mwamnyeto Bacca Bangala Moloko Sure Boy Mayele Mudhathir Musonda
KIKOSI cha Simba kimewasili salama Dar baada ya kutoka nchini Morocco walipokuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ilikuwa na kete ya mwisho ilikuwa dhidi ya Raja Casablanca ugenini na ilishuhudia ubao wa Mohamed V ukisoma Raja 3-1 Simba. Bao la Simba lilipachikwa na Jean Baleke dakika ya 48 katika mchezo ambao nahodha…
MCHEZO wa soka la kisasa unakua kwa kasi na wanasoka wanaonekana kuwa wachanga kila wakati, lakini bado kuna nafasi kwa wahenga kuendelea kuchangia uzoefu wao. Pamoja na maendeleo ya mara kwa mara katika teknolojia na lishe, sasa imekuwa kawaida kwa wanasoka kucheza hadi mwisho wa miaka thelathini na hata hadi arobaini. Hapa kuna wachezaji ambazo…
WAKATI leo Aprili 2 wakiwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya TP Mazembe Uwanja wa Mazembe, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kumaliza kundi ukiwa unaongoza kundi. Timu hiyo kwenye kundi D inaongoza kwa sasa ikiwa na pointi 10 baada ya kucheza mechi tano ikiwa sawa na US Monastir ambayo ipo nafasi ya…
Yanga SC yamalizana na Kinzumbi, Mbrazil Simba atoa tamko zito ndani ya Spoti Xtra Jumapili
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tuzo ambazo wamekomba wachezaji wake kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika, (CAF) kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kumewaongezea hali ya kujiamini. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira raia wa Brazil imetinga hatua ya robo fainali huku ikitunguliwa nje ndani na Raja Casabalanca. Ni Clatous Chama…
NI Jack Grealish alifunga kamba ya mwisho dakika ya 74 dhidi ya Liverpool,Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mabao mengine ni Mali ya Ilkay Gundogan dakika ya 53 Kevin De Bruyne dakika ya 46 na Julian Alvarez dakika ya 27. Mohamed Salah huyu alikuwa nyota wa kwanza katika kufunga bao kwenye mchezo…
BAADA ya kupoteza matumaini ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara,Azam FC imehamishia nguvu zake kwenye mashindano ya Azam Sports Federation. Ni Aprili 3 itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa hatua ya robo fainali unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Ofisa Habari wa Azam FC,Hasheem Ibwe alisema kuwa wanatambua…
KWENYE hatua ya makundi dhidi ya Raja Casablanca Klabu ya Simba imepigwa nje ndani ndani ya dakika 180. Mchezo ule uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 0-3 Raja Casablanca na kuwafanya wapoteza pointi tatu mazima. Kwenye mchezo wa pili uliochezwa ugenini ubao ulisoma Raja Casablanca 3-1 Simba. Bao pekee la Simba limefungwa na Jean…
MWENYEKITI wa Mbeya Kwanza, Mohamed Mashango ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Championship dhidi ya Green Warrior Uwanja Majimaji,Ruvuma. Mashango amesema ” Tumejiandaa vizuri tunamshukuru Mungu kila kitu kinaendelea vizuri tumejipanga vizuri tunahitaji pointi tatu tunajua mchezo utakuwa mgumu tupo tayari kwa ajili ya kupambana . “Hali ya wachezaji kwa…
MASTAA Yanga wala kiapo,CAF yawapa jeuri Simba
WAKIWA na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Raja Casablanca mikoba ya nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr inatarajiwa kuwa mikononi mwa Gadiel Michael. Zimbwe atakosekana kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa usiku wa kuamkia Aprili Mosi ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi kwa timu hizo mbili ambazo zimetinga hatua ya…