
YANGA KUSUKA KIKOSI CHA KAZI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utafanya usajili makini kwa ajili ya kuwa na kikosi imara kwa msimu wa 2023/24 kuendeleza ushindani. Ipo wazi kuwa Julai Mosi dirisha la usajili lilifunguliwa na linatarajiwa kufungwa Agosti 31 hivyo ni muda wa kuongeza nguvu ndani ya timu hiyo. Yanga tayari imeanza kufikia hatua ya kuachana na baadhi…