
HAWA HAPA WAKALI WAKUCHEKA NA NYAVU
CLEMENT Mzize nyota wa kikosi cha Yanga ni namba moja kwa wakali wakucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25. Kutoka kwenye ligi namba nne kwa ubora Afrika, vita ni kali kwenye eneo la ushambuliaji huku kukiwa na mzawa mmoja mwenye zali lakucheka na nyavu akiwa na mabao 13. Mzize alipachika…