
CAF WAJE HATA LEO AU KESHO BENJAMIN MKAPA IKO TAYARI – SERIKALI
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Cde Gerson Msigwa amesema uwanja wa Mkapa uko tayari kwa ukaguzi wa CAF hata leo au kesho wala sio tarehe 20 March, 2025, waliosema wao. Msigwa akizungumza na Bin Kazumari amesema ameshangaa kuona CAF wanasema kiwanja kibovu na kimefungiwa kwa…