
HAALAND YUKO NJIANI KUTENGENEZA REKODI YAKE
MSHAMBULIAJI wa Manchester City Erling Haaland yuko njiani kutengeneza rekodi zake binafsi bora zaidi katika historia ya Premier League. Haaland ana umri wa miaka 22 tu na tayari amezoea ligi na nchi mpya kwa haraka sana sasa anafurahia msimu wake wa kwanza bora akiwa na Man City chini ya Kocha Pep Guardiola. Man City bado…