
AZAM FC KWENYE DAKIKA 90 ZA KAZI GOMBANI
MATAJIRI wa Dar, Azam FC leo Aprili 28 2025 wanatarajiwa kuwa kazini kwenye mchezo wa nusu fainali Muungano Cup, visiwani Zanzibar katika dakika 90 za kazi kusaka tiketi yakutinga hatua ya fainali. Azam FC itakuwa Uwanja wa Gombani, Pemba, leo Jumatatu saa 1.15 usiku kuvaana na JKU ambayo iliwafungashia virago Singida Black Stars hatua ya…