MASTAA YANGA WAPEWA KAZI NA KOCHA WAO

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud ameweka wazi wachezaji wake wanafanya kazi kubwa kutafuta matokeo uwanjani jambo ambalo linapaswa kuwa endelevu kutokana na ushindani uliopo ndani ya ligi. Miloud kibindoni ana tuzo ya kocha bora ndani ya Februari baada ya kukiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi 5 ambazo ni dakika 450 ushindi ilikuwa kwenye mechi…

Read More

KIBU AFUNGUKIA TUZO YAKE BONGO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis maarufu kwa jina la mkandaji amechekelea kutwaa tuzo yake ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara namba nne kwa ubora Afrika baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba Machi 14 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja…

Read More

KIUNGO WA KAZI ANASEPA YANGA

INATAJWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga huenda akasepa baada ya msimu wa 2024/25 kugota mwisho kwa kuwa amepata timu ambayo inahitaji huduma yake kutokana na uwezo alionao. Ni Aziz Ki ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi kwenye eneo la kiungo akiwa ni mkali kwenye mapigo…

Read More

HAMISA MOBETTO ALIPUKA: “NIMECHOKA, NAOMBENI MNIACHE!”

Mwanamitindo na mjasiriamali maarufu, Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mke wa nyota wa klabu ya Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki, amefunguka kwa uchungu kupitia ‘insta stories’ baada ya kuchoshwa na maneno ya watu mitandaoni. Kupitia ujumbe aliouchapisha, Hamisa ameonyesha kuchoka na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa watumiaji wa…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA DODOMA JIJI DHIDI YA SIMBA

DODOMA Jiji watakuwa na kazi yakusaka pointi tatu dhidi ya Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC huku nyota Abdi Banda na Ibrahim Ajibu wakianzia benchi. Ni Ngeleka Katembua, Augustino Nsata, Apollo Onyango, Salmin Hoza, Mwana Kibuta, Dickson Mhilu, Daud Milandu, Mukrin Issa, Paul Obata, Reliants Lusajo, Paul Kasunda. Akiba ni Lulihoshi…

Read More

SIMBA KUWAKOSA MASTAA HAWA DHIDI YA DODOMA JIJI

WAKATI wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa mzunguko wa pili kuna hatihati Simba ikakosa huduma ya beki wao wa kazi na kiungo namba moja kwenye kutengeneza mabao. Ni beki Che Malone huyu hayupo fiti alipata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC alipokwama kukomba dakika 90 wakati ubao…

Read More

DUBE NA MILOUD WAMEKIMBIZA KWA FEBRUARI

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekimbiza ndani ya Februari kwa kusepa na tuzo kutoka Ligi Kuu Bara wote wakiwa wanatokea Jangwani. Ndani ya Februari kwenye mechi tano rekodi zinaonyesha kuwa Dube alihusika kwenye mabao matano na alifunga matano hivyo akahisika mojamoja kwenye mchango wa mabao 10. Ni mechi 7 alicheza…

Read More