
LIVERPOOL YAPETA UGENINI
LIVERPOOL wakiwa ugenini wamesepa na pointi tatu muhimu na kuwashusha wapinzani wao Leicester City. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Leicester City 0-3. Mabao ya Curtis Jones dakika ya 33 na 36 huku msumari wa tatu ukipachikwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 71. Ndani ya King Power Leicester City walipiga mashuti manne yaliyolenga lango huku…