
SERIKALI YAENDELEZA NEEMA KWA YANGA KIMATAIFA
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameunga mkono hamasa ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kununua tiketi 1,000 za mchezo wa fainali kati ya Yanga dhidi ya USM Alger. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili ambapo hamasa zimeendelea kwa sasa mpaka Mei 28 siku ya mchezo. Rais Samia amekuwa…