
BRUNO BADO YUPO SANA, MIGUEL NDO BASI TENA
KAZI imeanza ndani ya Singida Fountain Gate ambayo zamani ilikuwa inaitwa Singida Big Stars kwa kutambulisha nyota walioongeza mkataba pamoja na wale watakaosepa ndani ya timu hiyo. Timu hiyo ni mashuhuda Yanga wakisepa na ubingwa wa ligi huku wao wakigotea nafasi ya nne. Rasmi Juni 24 walifungua ukurasa wao mpya kwa kuanza kuwataarifu mashabiki kuhu…