
IJUMAA YA USHINDI ODDS KUBWA, MECHI KIBAO, PATA MAOKOTO YAKO!
Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. SUPER LIG pale Uturuki kuna mechi mbili Gaziantep FK atamenyana dhidi ya Alanyaspor ambao mechi yao iliyopita walitoa sare, huku wenyeji wao wakipigika. Pointi 3 leo…