
NAMUNGO FC KAMILI KUWAKABILI YANGA SC
BAADA ya kupoteza mchezo wa mzunguko wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora uliochezwa Novemba 30 2024 ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukasoma Namungo 0-2 Yanga SC, Namungo FC wameweka wazi kuwa watawakabili wapinzani wao kwa mbinu tofauti kupata matokeo chanya, Mei 13 2025, Namungo FC inatarajiwa kushuka Uwanja wa…