
KOCHA NAMUNGO ASHUSHA PRESHA
KOCHA Mkuu wa Namungo, Cedrick Kaze amesema kuwa watazidi kuwa imara taratibu kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya kwenye mechi zao zote za ligi. Timu ya Namungo ilianza kwa kupoteza mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 na mchezo wa pili ilipata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya KMC….