MAYELE ANASEPA YANGA, ISHU IPO HIVI

UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya kuomba kwenda kukipiga nchini Saudi Arabia huku Yanga wakilambishwa zaidi ya Bilioni 1.2 kama dau la usajili. Mayele alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kisha akaongezwa mmoja mwaka jana akitokea As…

Read More

UZI WA SIMBA KUZINDULIWA KILELENI, KILIMANJARO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzi mpya wa msimu wa 2023/24 upo tayari na utazinduliwa Kilimanjaro. Kikosi cha Simba kimeweka kambi Uturuki na kwa sasa maandalizi kuelekea msimu mpya yanaendelea ikiwa ni pamoja na suala jezi mpya. Ipo wazi kuwa watani zao wa jadi Yanga wao uzi upo mtaani baada ya uzinduzi wao kukamilika….

Read More

ALIYEWATUNGUA YANGA AONGEZEWA NGUVU

MTAALAMU wa mapigo huru ndani ya kikosi cha Ihefu FC Nivere Tigere bado yupo ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Ihefu ni timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu wa 2022/23 ndani ya Ligi Kuu Bara. Hiyo iliandikwa rekodi baada ya Yanga kucheza mechi 49 mfululizo bila kufungwa. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa…

Read More

VIGOGO WA KARIAKOO WAMEDUWAZWA MJINI

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa umetibua mipango ya vigogo wa Kariakoo ikiwa ni pamoja na Simba na Yanga zilizokuwa zinaiwinda saini ya Mtenje Albano. Vigogo hao wameduwazwa kwa kushuhudia saini ya nyota Albano ikiwa ndani ya Dodoma Jiji kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Rasmi ni mchezaji halali wa Dodoma…

Read More

HILI HAPA JEMBE JIPYA YANGA

MIAKA miwili kasaini mwamba Yao Kouas Attouhula akitokea Klabu ya ASEC Mimosa kuwa ndani ya Klabu ya Yanga. Ikumbukwe kwamba timu hiyo aliwahi kucheza Aziz Ki ambaye ni kiungo wa Yanga anayevaa jezi namba 10. Huyu anakuwa nyota watano kusajiliwa ndani ya Yanga baada ya Nickson Kibabage, Gift Fred,Jonas Mkude na Maxi Mpia Yeye ni…

Read More

ISHU ZA KISHIRIKINA ZISIPEWE NAFASI

TUKIWA tunaelekea kuanza msimu mpya wa mashindano imegeuka hali ya mazoea hivi sasa kwenye Ligi Kuu Bara na ligi za madaraja ya chini kila baada ya mizunguko kadhaa tumeshuhudia baadhi ya timu zikilimwa faini mbalimbali kutokana na vitendo vya kishirikina. Hali hii imegeuzwa mazoea na hii ni kutokana na adhabu ambazo zinatolewa huenda haziziathiri timu…

Read More

KAZI KUBWA NI MUHIMU IFANYWE KWA UTULIVU

IPO wazi kuwa kila timu kwa sasa ipo chimbo ikifanya kazi kubwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Tunaona Azam FC wapo tayari wapo kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na kazi yao ya kwanza itakuwa kwenye nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. Simba nao wapo kambini na…

Read More

MAJEMBE MENGINE YANASHUSHWA YANGA

MAXI Mpia Nzengeli ni ingizo jipya ndani ya Yanga akitokea kikosi cha Maniema ya Dr Congo. Yeye ni winga mwenye uwezo wa kupandisha mashambulizi na kufunga jambo ambalo limewavutia Yanga kuinasa saini yake. Nyota huyo mpya Yanga anaungana na wengine ambao wametambulishwa ndani ya Yanga ikiwa ni mzawa Nickson Kibabage aliyekuwa wa kwanza kutambulishwa. Mwingine…

Read More

KMC NA BENCHI JIPYA

ABDI Hamid Moallin ni kocha mpya ndani ya kikosi cha KMC chenye ngome yake pale Kinondoni. Kocha huyo ambaye amewahi kuifundisha Azam FC amerejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya Bongo. Safari hii atakuwa na KMC kuipambania ndani ya Ligi Kuu Bara msimu mpya ujao. KMC haikuwa na mwendo mzuri ndani ya msimu wa 2022/23…

Read More

YANGA YAPIGA MKWARA KUHUSU USAJILI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa usajili ambao wameufanya watawasumbua kwelikweli wapinzani wao kwenye mechi zote za ushindani. Ni mzawa Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate huyu ametambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kiachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Mwingine ni Jonas Mkude ambaye alikuwa ndani ya Simba sasa atakuwa ndani ya kikosi cha…

Read More