
SIMBA 3-0 KAGERA SUGAR, LIGI KUU BARA
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru kazi ni kubwa kwa timu zote mbili kusaka pointi tatu muhimu. Dakika 45 za mwanzo Simba wanafanikiwa kupata bao la kuongoza na wanarejea kipindi cha pili kukamilisha ngwe ya dakika 45 ubao ukisoma Simba 1-0 Kagera Sugar kipindi cha pili Sadio Kanoute akaongeza bao la pili…