
BENCHIKHA ACHENI WAJE, MKATA UMEME MPYA AJA NA JAMBO
Kisa robo fainali, Benchikha acheni waje, mkata umeme mpya aahidi makubwa Yanga ndani ya Championi Jumatatu
Kisa robo fainali, Benchikha acheni waje, mkata umeme mpya aahidi makubwa Yanga ndani ya Championi Jumatatu
Tarehe 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijana wa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu vya kumbukumbu ya mashabiki wengi wa soka ikiwemo mashetani wekundu Utd. Alianza safari yake ya soka kutoka mitaani klabu ya Infesta na baadaye alipata ofa ya kujiunga na Akademi ya…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kupata matokeo kwenye mechi zao za ligi sasa wanageukia kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Azam FC mchezo wake uliopita wa ligi ilishinda kwa mabao 2-1 JKT Tanzania inakibarua na Alliance ya Mwanza, kwenye raundi ya pili ya michuano hiyo. Mchezo huo unachezwa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Huo ni mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali wakiwa wamecheza mechi tatu na kukusanya pointi mbili kibindoni. Desemba 20 Yanga wanatarajiwa kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa baada…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa njia pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani kurejesha hali ya kujiamini zaidi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 270, Simba haijaambulia ushindi ndani ya uwanja. Ilipoteza…
MWENDO wa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga na Simba haujawa kwenye ubora kutokana na kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Kuna watembeza mikato ya kimyakimya ambapo wachezaji wa timu hizo walionyeshwa kadi za njano. Kuna kazi kubwa inapaswa kufanywa na wawakilishi wa Tanzania kimataifa.
Usiku wa deni hua haukawii kukucha waswahili wanasema hivo hatimae siku imekucha Anfield leo kutakua na kazi nzito ambapo mahasimu wakubwa wa soka la Uingereza watacheza ni Liverpool dhidi ya Manchester United. Majogoo ambao ndio watakua wenyeji wa mchezo huu kwakua watakua nyumbani katika dimba la Anfield katika mchezo huu dume kabisa kuwakaribisha Manchester United…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameendeleza ubabe wake kwa kushuhudia wachezaji wake wakiibuka na ushindi wa mabao 4-1 Mtibwa Sugar. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 16 Uwanja wa Azam Complex, Yanga walipeta na kukomba pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar wakiendeleza ubabe wao kwenye ligi. Mabao ya Yanga yalifungwa na Aziz KI ambaye alifunga mabao…
Kumekua kukitolewa misaada mbalimbali katika maeneo tofauti tofauti lakini leo hii Meridianbet wameamua kwenda kutoa msaada kwa madereva Bajaji wa maturubai ambayo yatawawezesha kufanya shughuli zao za kila siku vizuri. Utamaduni wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka umedumu kwa miaka na miaka na leo walioneemeka ni madereva Bajaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la…
Jumamosi hii Meridianbet inataka kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo katika ligi tofauti tofauti barani ulaya na hata hapa Tanzania. Kwanini Meridianbet wanasema watakikisha unapiga mkwanja wewe mteja wao kwakua wao wamemaliza jukumu lao kilichobaki ushindwe wewe tu, Kwani wameweka ODDS KUBWA katika michezo inayokwenda kupigwa Jumamosi ya leo…
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya Ranga Chivaviro kwa ajili ya kuwa naye ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa yupo huru kusajiliwa na timu yoyote itakayohitaji saini yake ikiwemo Simba ambayo imepanga kukifanyia maboresho kikosi chake. Hiyo ni kutokana na mkataba wake kufikia mwisho mwishoni mwa msimu huu akiwemo Chrispin Ngushi, Denis Nkane ambao hivi sasa wamepoteza nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza. Kwa mujibu kanuni za…
RASMI Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji wanne anaotaka wasajiliwe katika dirisha dogo la usajili msimu huu. Hiyo ni katika kuhakikisha anatengeneza kikosi imara kitakacholeta ushindani katika msimu huu ambao wamepanga kufika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wapo…
Al Ahly imefuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia ngazi ya klabu kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa robo fainali. FT: Al Ahly ?? 3-1 ?? Al Ittihad ⚽ Maâloul (P) 21’ ⚽ E lShahat 59’ ⚽ Ashour 62’ Al Ahly itachuana na vigogo wa Brazil,…
Meridianbet Kasino ya Mtandaoni hatimaye tena tumekusogezea Sloti yenye hadithi ya nguruwe watatu na mbwa mwitu wanaotema Mamilioni kibao kwa mzunguko mmoja. Hii ni ya kuitwa sloti za Big Bad Wolf na Big Bad Wolf Megaways. Sherehe ya bonasi za kasino ya mtandaoni inakusubiri. Big Bad Wolf Pigs of Steel ni sloti ya kasino ya…
Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara ( TPLB) imetupilia mbali shauri la klabu ya Yanga la kutaka marejeo ya adhabu ya kiungo wake Khalid Aucho ambaye amefungiwa michezo 3 na faini ya shilingi laki tano (500,000). Kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho amefungiwa michezo mitatu na faini ya shilingi milioni 1…