
KUBASHIRI KWA STAILI MPYA, EARLY PAYOUT YAINGIA KWA KISHINDO MERIDIANBET
Kama kuna jambo linalosisimua hivi sasa katika ulimwengu wa burudani ya kubashiri, basi ni uzinduzi wa huduma mpya ya Early Payout kutoka Meridianbet. Hili si jambo la kawaida bali ni mapinduzi halisi katika namna tunavyobashiri soka, na tayari limepokelewa kwa shangwe na wapenda michezo kote nchini Tanzania. Early Payout ni huduma inayokupa nafasi ya kushinda…