
FISTON MAYELE ABADILI DINI, ACHUKUA JINA LA KIISLAMU “MAHMOUD”
Nyota wa zamani wa Klabu ya Young Africans (Yanga SC), Fiston Mayele, amebadili dini kutoka Ukristo na sasa ni Muislamu, ambapo atatumia jina jipya la kiislamu “Mahmoud”. Mayele kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids FC ya Ligi Kuu nchini Misri, ambako ameendelea kuonyesha makali yake tangu ajiunge akitokea Yanga SC. Uamuzi wake wa kubadili…