
TAIFA STARS KUPOTEZA DHIDI YA MOROCCO UBORA UMEAMUA
MCHEZO uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 21 2023 umeacha maumivu kwa mashabiki kwa kushuhudia timu pendwa ikipoteza. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Tanzania 0-2 Morocco huku nyota Dismas akiingia kwenye orodha ya wachezaji walioonyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano. Ni mabao ya Hakim Ziyechi dakika ya 28 na Lusajo Mwaikenda…