
MZUNGUKO WA KWANZA HESABU KUBWA ZINAHITAJIKA
WAKATI wa mavuno kwa timu shiriki Ligi Kuu Bara na Championship ni mzunguko wa kwanza. Hapa timu ambazo zinafanikiwa kuanza kwa hesabu kubwa huwa zinamaliza vizuri. Kikubwa ambacho kinawafanya wamalize vizuri ni ule mwendelezo wa kujiamini. Kushinda mchezo mmoja kunaongeza hali ya kuendelea kupambana kwa ajili ya mechi inayofuata. Licha ya kwamba mchezo wa mpira…