MERIDIANBET YATOA MSAADA MBAGALA LEO

Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kutoa msaada leo katika eneo la Mbagala Kingugijijini Dar-es-salaam katika moja ya familia zenye uhitaji. Huu umekua utaratibu wa miaka mingi wa mabingwa hao wa kubashiri kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao haswa kwenye watu wenye uhitaji, Leo wamefika kwenye familia ya mzee Yusuph Mdogwa mwenye ulemavu wa macho na kurejesha tabasamu…

Read More

MCHEZO WA KASINO RAHISI KUSHINDA NI UPI?.

Kutana na mchezo wa kasino wenye sifa ya kutoa washindi kila sekunde, yaani ni rahisi kushinda kuliko kumeza mate, mchongo huu unapatikana pale Meridianbet wakali wa kasino ya Mtandaoni, unaambiwa ukijisajili ukaongeza salio unapewa bonasi ya ukaribisho hadi Tsh Milioni 3,000,000/= Mchezo huu unaangazia Wild West na saluni, benki na ofisi ya POLISI ikiwa nyuma…

Read More

WIKENDI YA MAOKOTO MECHI ZA LEO KAZI KWAKO, SOMA HAPA

Huenda leo hii ikawa bahati yako kwa kubashiri na Meridianbet kwani hapa kila kitu unachokitaka kipo. Ukitaka machaguo zaidi ya 1000 yapo, odds za kibabe pia zipo. Ingia www.meridianbet.co.tz na uske jamvi lako hapa. Tunaanza kuangazia Everton ambao watakua ugenini kupepetana dhidi ya Salford City ambao wanakipiga Uingereza League 2 huku wakimaliza msimu wakiwa kwenye…

Read More

GAMONDI: TUNAITANGAZA YANGA DUNIANI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amebainisha kuwa uwepo wao Afrika Kusini una faida kubwa kutokana na kucheza mechi za ushindani ambazo ni muhimu kuelekea msimu mpya huku wakiitangaza timu hiyo duniani kote. Gamondi aliongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuinoa Yanga yenye maskani yake Jangwani, Kariakoo inatarajiwa kurejea Bongo ikikamilisha mchezo dhidi ya Kaizer…

Read More

UBAYA UBWELA SIMBA YATAMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa itakuwa ni ubaya ubwela Agosti 3 2024 kutokana na mpango kazi uliopo ndani ya timu kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day linalotarajiwa kuwa na mwendelezo wa mvuto Uwanja wa Mkapa. Tayari Simba wamezindua uzi mpya wa msimu wa 2024/24 ilikuwa ni Julai 24 Morogoro na Sandaland anahusika…

Read More

YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA KHALID AUCHO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa ulitamani kiungo Khalid Aucho angekuwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya kiungo bora kutokana na kazi yake anayofanya ndani ya uwanja kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kwamba Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 walimaliza wakiwa na pointi 80 baada ya…

Read More

Kuna Milioni 2 Zinakusubiri Kwenye Kasino

Meridianbet kuna Milioni 2 ziko nje tu! Cheza shindano la Expanse Kasino ujishindie Mgao wa pesa hizo. Jisajili na Meridianbet kwa ushidi mkubwa sana NA Bonasi ya Ukaribisho ya Tsh 3,000,000/= Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za kasino na pesa taslimu kwenye kaunti zao za Meridianbet. ZAWADI ZIKOJE?…

Read More

TIMIZA NDOTO ZAKO NA MECHI ZA KIRAFIKI LEO

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet unaweza ukatimiza ndoto zako?. Kama ujaiuliza kivipi basi ni kwa kuchagua timu zako za ushindi na kusuka mkeka wako wa maana leo hii. Piga pesa na mechi hii ya Sevilla FC dhidi ya Al-Ittihad ya kule Saudi Arabia. Timu hiyo ilimaliza nafasi ya 5 kwenye ligi yao huu mwenyeji…

Read More

HUYU HAPA CEO MPYA SIMBA

RASMI uongozi wa Simba umemtangaza Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 mara mkataba wa Imani Kajula ambaye yupo kwenye nafasi hiyo kwa sasa kugota mwisho. Taarifa iliyotolewa na Simba mapema Julai 26 kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohamed Dewji, (Mo) imeeleza…

Read More

UBAYA UBWELA NOMA SANA KUIBUKA KWA MKAPA

WAKATI uzi mpya wa Simba uliozinduliwa Julai 24 ukizidi kuwa gumzo kila kona kutokana na ubunifu wake pamoja na nembo ambazo zimetumika uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa ubaya ubwela hautaishia kwenye uzi pekee bali mpaka mechi zao zote kazi ipo palepale. Miongoni mwa mechi ambazo zinasubiriwa kwa shauku kubwa kwa sasa ni Kariakoo Dabi…

Read More