KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE KUSAKA MATOKEO
MECHI ambazo zimebaki kwa wawakilishi wa kimataifa zote ni muhimu kushinda kufufua matumaini ya kutinga hatua ya makundi licha ya ugumu uliopo. Kikubwa kwenye mechi za hatua ya makundi ni kuhakisha kwamba hakuna ambaye ataleta utani kwenye mechi ambazo zitachezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mechi mbili ambazo zinamaana kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga…