
KAMATI YA USIMAMIZI WA LIGI KUU YAKATAA RUFAA YA KHALID AUCHO
Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara ( TPLB) imetupilia mbali shauri la klabu ya Yanga la kutaka marejeo ya adhabu ya kiungo wake Khalid Aucho ambaye amefungiwa michezo 3 na faini ya shilingi laki tano (500,000). Kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho amefungiwa michezo mitatu na faini ya shilingi milioni 1…