
SIMBA: IWE JUA, IWE MVUA TUNABEBA, PACOME AJITWISHA MZIGO
KIPA wa penalti Simba aionya Mlandege, Pacome ajitwisha mzigo mzito Yanga ndani ya Championi Jumamosi
KIPA wa penalti Simba aionya Mlandege, Pacome ajitwisha mzigo mzito Yanga ndani ya Championi Jumamosi
NDANI ya Ligi Kuu Bara kuna miamba ambao wana juhudi kwa kuwa namba moja kwenye rekodi tofautitofauti. Ni Aziz KI huyu anakipiga Yanga ni namba moja kwa watupiaji wa mabao akiwa nayo 10 na ni kinara kwa watupiaji wakitumia mguu wa kushoto na mkali wa mapigo huru. Saido Ntibanzokiza ni mkali wa penalti yupo zake…
JANUARI 13 leo ni leo ambapo Michuano ya Mapinduzi Cup inafikia tamati kwa mechi ya fainali kupigwa Mabingwa watetezi ambao ni Mlandege kucheza na Simba SC ambao wametinga hatua ya fainali 2024. Ni bao la Fabrince Ngoma lilileta nongwa dakika za lala salama na kupelekea mikwaju ya penalti. Singida Fountain Gate 2-3 Simba kwenye penalti…
Najua kama wewe ni mwanasoka hili jin asio geni kwako kuwahi kulisikia na hata kushuhudia yale ambayo kijana huyu kutoka jijini Ufaransa ameyafanya ikiwemo na kuwa mchezaji bora wa KOmbe la Dunia mwaka 2018 kule Ufaransa akiwa mdogo kabisa na miaka 19. Hivyo leo hii nataka kukupa yale ambayo hujayafahamu kuhusu Mbappe. Alizaliwa nchini Ufaransa,…
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone ni habari nyingine ndani ya Mapinduzi 2024 kutokana na kuwa na zali la kuhusika kwenye miguso iliyoleta mabao katika timu hiyo. Ni pasi tatu za mabao katoa na kufunga bao moja. Januari Mosi dhidi ya JKU alifanya kweli kwa kutengeneza pasi mbili za mabao ile ya kwanza alimpa Moses Phiri dakika…
HUKU zikiwa zimesalia siku sita kabla ya kufungwa kwa doirisha dogo la usajili wa timu zilizo chini ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametangaza kuwa ametumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufanya tathimini ya kikosi chake na sasa kuna maamuzi mazito yatatolewa hivi karibuni. Yanga imeondolewa katika hatua ya…
Wakati wengi wakiamini dunia inaenda mbele na mambo yamebadilika lakini mtu mmoja ameweza kufanikiwa kuirudisha dunia nyuma, Huku pia dunia ikikubali kuishi ndani ya dunia ya mtu huyo sio mwingine ni Earling Haaland. Katika ulimwengu ambao wengi wanaamini mshambuliaji anapaswa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja kama kufunga, uwezo wa kuiunganisha timu katika eneo la…
ASEC yatoa masharti Sankara asaini Yanga, Benchikha: Bado sijaipata Simba ninayoitaka ndani ya Championi Ijumaa.
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ipo tayari kwa ajili ya AFCON 2023 inayotarajiwa kufanyika Ivory Coast ambapo tayari imeshawasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho. Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ameweka wazi kuwa kila mchezaji yupo tayari na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi ambazo watacheza. Stars ilifanya mazoezi Stade Auguste Denis…
KIGOGO Simba ameweka wazi kuwa bado wanaendelea na kufanya usajili ambapo kuna wachezaji wengine watatambulishwa pale usajili utakapokamilika. Ipo wazi kuwa tayari Simba imewatangaza wachezaji watatu na wote ni viungo ikiwa ni pamoja na Babacar Sarr, Saleh Karabaka na Chasambi.
Kila mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijana wengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati za mjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote kwa yote ili mkono uende kinywani. Sasa ngoja nikusogezee chimbo moja wapo linaloweza kukupatia mkwanja kila muda unapohitaji, ni ulimwengu maridhawa wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet. Kwenye ulimwengu huo…
INAPOPATIKANA nafasi uwanjani ni muhimu kwa wachezaji kuitumia kwa umakini. Wapo wale ambao walishindwa kuonyesha uimara kila walipopata nafasi mwisho wakapoteza kila kitu. Maisha ya mpira ni nafasi ya kucheza inapokosekana ni muhimu kwa wachezaji kuitafuta kwa kufanyia tathimini kile ambacho kinawafanya wawe benchi, hivyo tu. Tunaona kwenye mechi za Mapinduzi 2024 kuna wachezaji waliopata…
TAYARI wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wamewasili nchini Ivory Coast kwa ajili ya kushiriki AFCON 2023, hii ni kubwa sana na inapaswa kuchukuliwa kwa ukubwa. Hapa unaona kwamba kabla ya kuibukia Ivory Coast walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Misri na ilikuwa mechi…
AMEFAFANUA Meneja wa Idara ya Habari Simba namna ambavyo watawauza wachezaji wao pamoja na atakayebeba mikoba yao pindi watakapoondoka ndani ya timu hiyo wakati ujao.
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe ameweka wazi kuwa wanaamini kwamba watarejea kwenye mashindano ya Mapinduzi wakati mwingine wakiwa imara baada ya kupoteza nafasi ya kutwaa taji hilo 2024. Ipo wazi kwamba Yanga iliondolewa katika hatua ya robo fainali na APR kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali na wamerejea Bongo kwa maandalizi ya mechi…
FAINALI ya Mapinduzi 2024 inawakutanisha wote walioshinda kwa mikwaju ya penalti huku timu inayopoteza ikipeleka malalamiko kwa waamuzi. Ni Januari 13 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwa wababe wawili waliopata zali la kushindwa kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 90 ngoma kuwa nzito kwa timu zote mbili. Ni Mlandege 0-0 APR FC ilikuwa Januari 9…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa bado upo imara kwa ajili ya mashindano mengine licha ya kufungashiwa virago kwenye Kombe la Mapinduzi 2024. Ipo wazi kuwa Yanga iligotea hatua ya robo fainali baada ya kushuhudia ubao ukisoma Yanga 1-3 APR FC. Watakuwa mashuhuda wa fainali ya Mapinduzi 2024 wakiwa kwenye ardhi ya Bongo. Katika mechi…