SIMBA YAIVUTIA KASI SINGIDA BIG STARS

BAADA ya kumalizana na Coastal Union kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho kituo kinachofuata kwa Simba ni dhidi ya Singida ig Stars. Leo Februari Mosi 2023 kikosi cha Simba kimefanya mazoezi kwa ajili ya kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Ijumaa. Februari 3 utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba ndani ya mwezi mpya 2023…

Read More

Alhamisi ya Leo ni Za Hela Meridianbet

Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima Meridianbet wanaendelea kukupatia kile ambacho wewe unakitaka kwenye mechi za ligi mbalimbali zinazoendelea Duniani kote. Unakosaje sasa kukwapua mpunga wa maana?. Beti sasa na ushinde na Meridianbet. Ligi kuu ya Misri (EGYPT PREMIER LEAGUE) kutakuwa na mtanange mzito leo hiihsaa 1:00 usiku El Zamalek atamualika nyumbani kwake Future FC…

Read More

CHELSEA IMEBUTULIWA HUKO

TOTTENHAM imesepa na pointi tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea. Mabao ya Oliver Skipp dakika ya 46 na Harry Kane dakika ya 82 yameipa ushindi Spurs. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Tottenham Hotspur umesoma Tottenham 2-0 Chelsea. Chelsea inabaki na pointi 31 ikiwa nafasi ya 10 huku…

Read More

SIMBA:BADO MASHINE NYINGINE ZINAKUJA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao hawataamini macho yao kwa msimu mpya wa 2023/24 kutokana maandalizi wanayofanya. Roberto Oliveira amepewa jukumu la kuinoa timu hiyo iliyopishana na mataji yote msimu wa 2022/23 kuanzia Ngao ya Jamii, Ligi ya Mabingwa Afrika, Kombe la Mapinduzi, Azam Sports Federation na Ligi Kuu Bara yaliyokwenda Yanga. Maandalizi…

Read More

MWAKINYO ASHINDA UBINGWA WA WBO KWA TKO

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo usiku wa kuamkia June 02, 2024 ameshinda Ubingwa wa WBO kwa TKO kwa kumpiga Bondia Mghana Patrick Allotey kwenye Ukumbi wa Warehouse uliopo Masaki, Dar es Salaam aliyeshindwa kuendelea na pambano round ya pili akidai ameumia bega. Pambano hilo lilipangwa kuchezwa  June 01, 2024 lilishindwa kufanyika kwasababu…

Read More

MANCHESTER CITY WAPIGA 4G LEEDS UNITED

MANCHESTER City wakiwa na jambo lao hawazuilika baada ya wenyeji Leeds United kuchapwa mabao 4-0. Wakiwa Uwanja wa Elland Road mbele ya mashabiki 35,771 kichapo hicho hakikuepukika kwenye michezo wa Ligi Kuu England. Mabao ya Rodri dk 13,Nathan Ake dk ya 54, Gabriel Jesus dk 78 na Fernandinho dk ya 90+3 yalitosha kuwarejesha kileleni kwa…

Read More

SIMBA YATAJA VIGEZO VYA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA

WAKIWA na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Wydad Casablanca leo Jumanne, kocha mkuu wa Simba, Abdelhack Benchikha amefumua kikosi na kubainisha mambo saba yatakayoipa ushindi timu hiyo. Ipo wazi kwamba Wydad Casablanca nao hesabu zao kubwa ni kupata ushindi hivyo zitakuwa ni dakika 90 za kazi kubwa,…

Read More

KISASI NA MAPIGO HURU UWANJA WA MKAPA

KARIBU kwenye mapigo ya ligi ambayo yanaendelea ikiwa ni mwaka 2023, Uwanja wa Mkapa utakuwa na kazi ndani ya dakika 90 kwa wababe kusaka pointi tatu. Ni Yanga dhidi ya Ihefu mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa kutokana na Ihefu kuwa watibuaji wa mipango ya Yanga. Hapa tunakuletea baadhi ya mambo yatakayonogesha mchezo huo namna hii:-…

Read More

SHINDANO LA EXPANSE KASINO USHINDI HADI MIL 400/= TZS

Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…

Read More

SIMBA WAZINDUA JEZI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO

Klabu ya Simba leo Februari 10, 2022 imezindua rasmi jezi mpya ambazo zitakuwa zinatumika kwenye michuano ya kimataifa ambayo klabu hiyo ipo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. “Leo tunaonyesha jezi yetu ya michuano ya kimataifa ikiwa na logo ambayo inazingatia mambo yote ya utalii. Jezi zitaanza kuuzwa kesho kwenye maduka ya Vunja…

Read More

HASIRA ZA SIMBA KUHAMIA HAPA KISA KARIAKOO DABI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hasira zakukosa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao ulitarajiwa kuchezwa Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa watazihamishia kwa wapinzani wao TMA Stars mchezo wa CRDB Federation Cup. Ikumbukwe kwamba mchezo huo ulikuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa kati ya Yanga na Simba, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) ilitoa taarifa…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI GALLATS

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya nusu fainali. Ni dhidi ya Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini ambao usiku wa kuamkia leo Mei 9,2022 wamewasili ndani ya ardhi ya Dar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 10, Uwanja wa Mkapa Yanga…

Read More

KIGAMBONI YAFIKIWA NA MERIDIANBET CHEZA KASINO

Safari ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye hali ngumu ya kimaisha, ilianzia makao makuu ya kampuni namba moja kwa michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet yenye huduma za kasino ya mtandaoni. Ni Wilaya ya Kigamboni ndipo kilikuwa kituo cha mwisho, na hapa Meridianbet walikutana na Mama mtu mzima…

Read More

PABLO AANZA KAZI SIMBA

PABLO Franco, raia wa Hispania ambaye ni kocha mpya wa Simba, leo Novemba 12 emeanza rasmi kufundisha wachezaji wa Simba. Kocha huyo ambaye amechukua mikoba ya Didier Gomes raia wa Ufaransa ambaye alibwaga manyanga Oktoba 26 amesaini dili la miaka miwili kuwa ndani ya kikosi hicho. Katika mazoezi ambayo yamefanyika Uwanja wa Boko Veteran alikuwa…

Read More