
BEKI YANGA SC APATA DILI NONO
BEKI wa zamani wa Yanga SC Gift Fred ambaye alishindwa kupata namba kikosi cha kwanza na kupewa Thank You anatajwa kupata dili nono kwa ajili ya changamoto mpya. Gift Fred anakaribia kujiunga na Klabu ya KCCA ya nchini Uganda katika msimu ujao wa 2025/26 kwa ajili ya kutimiza majukumu yake. Gift anakwenda kujiunga na KCCA…