SLOTI MPYA! BONASI KUBWA, MIZUNGUKO YA BURE NA SPINOMENAL!

Ofa nyingine ya kibabe imefika! Ni promosheni ya kasino ambayo itakupatia zawadi nyingi ikiwemo pesa taslimu na mizunguko ya bure. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye promosheni hiyo na unufaike na Meridianbet. Spinomenal, Ni kampuni kubwa ya kimataifa inayotengeneza na kusambaza michezo ya kasino ya mtandaoni hasa Sloti za video…

Read More

YANGA YAIJIBU TFF, DAWA YA DENI NI KULIPA KWA WAKATI

Klabu ya Yanga imejibu mapigo baada ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kudai klabu hiyo fedha zao za zawadi katika mashindano mbalimbali zikatwe kulipia malipo wanayotakiwa kuilipa kwa TFF huku ikidai kuwa haijawahi kulipwa fedha yoyote ya Ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa Misimu mitatu mfululizo, (2021/2022, 2022/2023 na 2023/24). Taarifa ya leo Juni 10,…

Read More

CHE MALONE KAZI IPO SIMBA SC

BEKI wakupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba SC, Che Malone kazi ipo kuelekea msimu wa 2025/26 ambapo anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You. Beki huyo ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids hajawa kwenye mwendelezo mzuri kwenye mechi za ushindani za…

Read More

ELVIS RUPIA KWENYE RADA ZA YANGA SC

Mkali kwenye kucheka na nyavu ambaye yupo Singida Black Stars, Elvis Rupia anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Jangwani Yanga SC ambao wanahitaji saini yake kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26. Rupia ndani ya ligi katupia mabao 10 akiwa namba mbili kwenye eneo hilo ndani ya Singida Black Stars na kinara ni Jonathan…

Read More

AZAM FC WAIVUTIA KASI TABORA UNITED

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa mwisho msimu wa 2024/25 wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani. Azam FC uwanja wao wa nyumbani ni Azam Complex wanafunga ukurasa wa mwisho kwa mchezo dhidi ya TaboraUnited katika msako wa pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Kwenye msimamo Tabora…

Read More

BONASI KIBAO KUTOLEWA UKITUMIA AIRTEL PUSH

Anza mwaka na Funga mwaka na Airtel Push ndani ya Meridianbet kibabe ambapo wakali wa ubashiri Tanzania wamekuja na promosheni kali kabisa kwa wateja wao wa Airtel. AIRTEL PUSH ni promosheni ambayo ilianza toka Januari 01, na itamalizika mwisho wa mwaka yaani mwezi Disemba 31 mwaka 2025 na Meridianbet wanakwambia hivi pesa yako ya kwanza…

Read More