
KIUNGO WA MPIRA YANGA SC AREJEA KAZINI
KIUNGO wa mpira ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi amerejea kazini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kukamilisha mzunguko wa pili 2024/25. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 73 baada ya mechi 27 ni mechi tatu zimebaki kwa mujibu wa ratiba huku wao wakibainisha kuwa…