
YANGA SC WANAJAMBO LAO KUBWA
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kuelekea kwenye mchezo wa fainali wa CRDB Federation Cup jambo kubwa ambalo wanahitaji ni ubingwa. Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi itamenyana na Singida Black Stars kwenye fainali inayotarajiwa kuchezwa Zanzibar. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi walitwaa taji hilo kwa ushindi mbele…