
KWA FAIDA YA NANI? MNGUTO AJIUZULU, KASONGO ASIMAMISHWA
Katika mfululizo wa matukio makubwa yanayoikumba Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto amejiuzulu rasmi nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi, huku Ofisa Mtendaji Mkuu, Almasi Kasongo, akisimamishwa kazi na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia. Taarifa ya Juni 13 iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao, imeeleza…