
SIMBA SC KWENYE KIBARUA DHIDI YA MASHUJAA
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids Mei 2 2025 kinatarajiwa kuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Mashujaa FC ambao nao wanazihitaji pointi hizo tatu muhimu. Mchezo huo ni kiporo ratiba yake imepangwa upya kwa kuwa Simba SC ilikuwa kwenye mechi za kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa…