
ONANA WA SIMBA ATAJA SIRI YA MAFANIKIO
WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema ushirikiano mkubwa kutoka kwa wachezaji wenzake ndani ya kikosi ni sababu iliyowapa nguvu wakashinda. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-0 Wydad Casablanca na mabao yote yalifungwa na Onana. Onana alifunga mabao hayo akitumia…