
WAZEE WA YANGA WATOA TAMKO, WAPINGA MCHEZO WA DERBY JUNI 15 – VIDEO
Dar es Salaam – Wazee na Wenyeviti wa Matawi wa Klabu ya Yanga leo Juni 5, 2025 wamejitokeza hadharani makao makuu ya Klabu hiyo na kutoa tamko rasmi wakipinga vikali ushiriki wa klabu hiyo katika mchezo wa watani wa jadi (derby) uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Kupitia…