
LIVERPOOL WATOA TAARIFA KUHUSU DIOGO JOTA
NYOTA Diogo Jota, ametangulia mbele za haki kwa ajali akiwa na miaka 28 tu. Mchezaji huyo wa mpira wa lipoteza maisha yake katika ajali ya gari iliyotokea Zamora karibu na mpaka wa Kaskazini-Magharibi kati Uhispania na Ureno. Katika gari hiyo alikuwa na kaka yake ambaye naye ametangulia mbele za haki. Waajiri wake Liverpool mabingwa wa…