JEMBE: KIBU HAKUSTAHILI KUCHEZA, MASHABIKI WALISTAHILI KUMZOMEA
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo kitaifa na Kimataifa Saleh Ally wengi wanapenda kumuita Jembe ameweka wazi kuwa Kibu Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba hakupaswa kucheza mchezo wa Simba Day. Ipo wazi kwamba Agosti 3 2024 ilikuwa kilele cha Simba Day Uwanja wa Mkapa ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja…